Skip to content

Latest commit

 

History

History
282 lines (141 loc) · 15.8 KB

swahili.md

File metadata and controls

282 lines (141 loc) · 15.8 KB

BBC News Swahili

Marekani yafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas

__

Trump atoa 'onyo la mwisho' kwa Hamas huku Marekani ikithibitisha kufanya nao mazungumzo ya moja kwa moja juu ya mateka

Rwanda bila misaada: Je, inaweza kujitegemea?

Alhamisi, 6 Machi 2025 saa 02:50:38

Inakadiriwa kuwa Rwanda inapokea zaidi ya dola bilioni 1 ya msaada wa kigeni.

Mambo tisa kuhusu Lesotho - taifa ambalo 'hakuna anayejua kuihusu'

Alhamisi, 6 Machi 2025 saa 09:56:57

Lesotho inafahamika kama 'ufalme ulio kwa karibu na anga' - Ni nchi pekee iko juu ya mita 1000.

Kwa nini hamu ya vyakula vitamu huongezeka wakati wa Ramadhani?

Alhamisi, 6 Machi 2025 saa 06:49:22

"Kilicho muhimu kwetu ni kuelewa uhusiano kati ya vyakula tunavyokula na hisia zetu, kwani hii inaweza kutusaidia kula lishe bora na yenye manufaa."

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Real Madrid inavutiwa na Ibrahima Konate

Alhamisi, 6 Machi 2025 saa 03:52:26

West Ham inataka kumsajili Angel Gomes, huku Manchester United ikiwafuatilia walinda lango James Trafford na Joan Garcia.

China yasema iko tayari kwa vita ya aina yoyote na Marekani

Jumatano, 5 Machi 2025 saa 14:36:08

Nchi mbili zenye uchumi mkubwa zaidi duniani zimekaribia kuingia kwenye vita vya kibiashara baada ya Trump kuweka vikwazo zaidi vya kibiashara kwa bidhaa zote za China.

Jinsi ya kudhibiti hamu ya kahawa wakati wa mfungo wa Ramadhan

Jumatano, 5 Machi 2025 saa 05:00:06

Mtaalam wa lishe anasema kuwa ni kosa kubwa kunywa kahawa pindi unapofungua saumu, na wakati muafaka wa kunywa kahawa wakati wa Ramadhan ni kusubiri hadi baada ya kufungua kwa kula.

Idjwi: Kisiwa katikati ya uwanja wa vita DRC, lakini ndicho salama zaidi

Jumatano, 5 Machi 2025 saa 09:52:05

Kisiwa cha Idjwi nchini DRC kimekuwa kikipokea mamilioni ya watu wanaoathirika na vita nchini humo na nchi jirani ya Rwanda

Marekani yasitisha kushirikisha taarifa za kijasusi na Ukraine - Waltz

__

Mike Waltz pia amesema rais wa Marekani yuko tayari kuondoa usitishaji wa misaada ya kijeshi nchini humo.

Waridi wa BBC: 'Niliambiwa siwezi kuwa daktari lakini sasa ndoto yangu imetimia'

Jumatano, 5 Machi 2025 saa 07:29:33

Dkt. Zaituni amabaye ni rais wa madaktari wanawake nchini Tanzania amekuwa daktari bingwa mbobezi kwa takribani miaka 20.

Unajua joto kali la chumbani ni hatari kwa figo na moyo wako?

Jumatano, 5 Machi 2025 saa 13:23:14

Shirika la Afya Duniani (WHO) linapendekeza kuwa joto la chumbani liwe angalau 18°C (64.4°F) ili kulinda afya dhidi ya madhara ya baridi

Hili ndilo eneo lenye vifo vingi zaidi vya kigaidi' duniani

Jumatano, 5 Machi 2025 saa 11:57:55

Eneo la Sahel barani Afrika ndilo "kitovu cha ugaidi duniani" na sasa, kwa mara ya kwanza, linachangia "zaidi ya nusu ya vifo vyote vinavyohusiana na ugaidi", kulingana na Kielezo cha Kimataifa cha Ugaidi (GTI).

Mohammed Iqbal Dar: Mjue mbunifu wa jina 'Tanzania' aliyeaga dunia

Jumanne, 4 Machi 2025 saa 11:54:39

Kwa zaidi ya miaka 10 Iqbal Dar amekuwa akisumbuliwa na maradhi yaliyomfanya ashindwe kutembea.

Ndoa za binamu: Ni ushahidi mpya unaoeleza sababu za watoto kuzaliwa na matatizo ya afya

Jumapili, 2 Machi 2025 saa 03:17:55

Utafiti waonysha ndoa za binamu zina athari nyingi kuliko ilivyodhaniwa awali

Je, Ulaya ina ubavu wa kuisaidia Ukraine kijeshi ikiwa Marekani itakaa pembeni?

Jumatatu, 3 Machi 2025 saa 13:10:40

Baada ya mzozo ulioibuka Ikulu ya Marekani, kati ya Rais Donald Trump na Zelensky, umeweka rehani uhusiano wa Marekani na Ukraine kuhusu kumaliza vita vya Ukraine

Wafahamu wanamgambo 'wanaochochea uhasama' baina ya DRC na Rwanda

Alhamisi, 27 Februari 2025 saa 03:53:07

Kama umekuwa ukifuatilia mzozo unaoendelea wa DRC, bila shaka umesikia herufi FDLR zikitajwa mara kwa mara hasa Rwanda inapohusika. Lakini je, FDLR ni akina nani hasa?

Kwanini Rais wa Ukraine havai suti?

Jumapili, 2 Machi 2025 saa 10:48:48

Kabla hata ya mzozo ulioibuka kati yake na wenyeji wake Rais Donald Trump na Makamu wa Rais JD Vance mbele ya waandishi wa Habari, Trump alimpokea Zelensky mlangoni na kuwaambia waandishi wa habari "leo amevalia kweli kweli"

Dakika 10 za majibizano kati ya Trump na Zelensky katika Ikulu ya Marekani

Jumamosi, 1 Machi 2025 saa 11:00:21

Ujumbe wa Zelensky ulikata kiini cha kile ambacho wakosoaji wanasema ni makosa ya kimsingi ya Trump katika kushughulika na Urusi.

Utafiti: Kwa nini nusu ya watu wote duniani kuwa wanene?

Jumanne, 4 Machi 2025 saa 13:08:38

Utafiti unaonyesha zaidi ya nusu ya watu wazima wote na theluthi moja ya watoto na vijana, duniani wanatarajiwa kuwa na uzito mkubwa au unene kupita kiasi ifikapo mwaka 2050.

'Kusitishwa' kwa misaada ya kijeshi ya Marekani kuna maana gani kwa Ukraine?

Jumatano, 5 Machi 2025 saa 03:00:42

Uamuzi wa Rais Donald Trump wa kusitisha misaada yote ya Marekani kwa Ukraine ni pigo kubwa - si kwa Kyiv pekee bali pia washirika wa Ulaya ambao wamekuwa wakishawishi utawala wa Marekani kuendelea kuwaunga mkono.

Nani anayeiongoza Vatican wakati Papa amelazwa hospitalini?

Ijumaa, 21 Februari 2025 saa 03:37:21

Papa Francis, mwenye umri wa miaka 88 amekuwa akipitia maambukizi ya mfumo wa upumuaji kwa zaidi ya wiki moja.

'Nilitaka tu kuwa na nyumba na kulipa madeni, nikaamua kuuza figo yangu'

Jumatano, 26 Februari 2025 saa 11:02:14

Ununuzi ni kati ya dola $1,700 na $2,700 ambayo hulipwa kiasi cha kuanzia kabla kufanyiwa operesheni na kumaliziwa kiasi kilichobaki kama robo baada ya kutolewa figo

Jinsi uhusiano na Rwanda unavyochochea ubaguzi dhidi ya Watutsi DR Congo

Jumamosi, 22 Februari 2025 saa 09:13:14

Inafaa pia kuzingatia kwamba Watutsi wengi wa Congo hawaungi mkono vitendo vinavyofanywa na waasi kwa jina lao.

Ramadhani: Unajua kinachotokea mwilini wakati unapokuwa umefunga?

Alhamisi, 27 Februari 2025 saa 08:05:54

Kila mwaka mamilioni ya waislamu duniani hufunga tangu jua linapochomoza mpaka linapotuwa kwa siku 30 mfulilizo katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Masaibu manne anayopitia Kizza Besigye Uganda

Jumanne, 25 Februari 2025 saa 04:01:03

"Nilimtembelea Kizza Besigye kwenye selo yake, alikuwa amelala kwenye kitanda chumba kidogo ambacho kimechukua chumba kizima. Kulikuwa na milango sita au saba niliyopita mpaka kumfikia'.

Kutana na James aliyeokoa maisha ya  watoto milioni 2.4

Jumatatu, 3 Machi 2025 saa 13:02:17

Akijulikana kama "mtu mwenye mkono wa dhahabu," ambapo damu yake ilikuwa na kinga adimu, Anti-D, ambayo hutumiwa kutengeneza dawa anayopewa mama wajawazito ambao damu zao ziko hatarini kuwaathiri watoto wao ambao hawajazaliwa.

Mtandao wa kamera za Taliban zinazofuatilia mamilioni ya watu

Ijumaa, 28 Februari 2025 saa 12:05:23

"Tunaufuatilia mji mzima wa Kabul kutokea hapa," anasema Khalid Zadran, msemaji wa ofisi ya mkuu wa polisi wa Taliban.

Amka Na BBC

Alhamisi, 6 Machi 2025 saa 04:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Amka Na BBC

Alhamisi, 6 Machi 2025 saa 03:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Amka Na BBC

Jumatano, 5 Machi 2025 saa 04:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Amka Na BBC

Jumatano, 5 Machi 2025 saa 03:29:00

Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Jumatano, 5 Machi 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Jumanne, 4 Machi 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Jumatatu, 3 Machi 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Dira Ya Dunia

Ijumaa, 28 Februari 2025 saa 16:29:30

Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki